UhuRuto 2013

UhuRuto 2013

usalama wake na mwenzake umo kwa wanachi wa kenya maana the hague haitamtambua kama asiposhinda uchaguz
 
149938_583784374983453_1606997395_n.jpg
 
Thank You so much — at Malindi County

482544_584433941585163_1882414055_n.jpg

8711_584433948251829_1706616646_n.jpg

45694_584433931585164_1325412400_n.jpg

17721_584434001585157_583168966_n.jpg

182616_584433991585158_2130105918_n.jpg

166735_584434041585153_1062829354_n.jpg
 
kenya wanapiga campain za uhakika sijaona sahani la wali au yale mafuso ya kubeba watu ili waje kwenye mkutano. vyama vya upinzani kuna kitu cha kujifunza kwa wenzetu, unajua campain nzuri na smart pia inaushawishi mkubwa sana wa kushinda maana kizazi cha leo mkituletea wali tutakula na hatukuchagui kabisaa, na kitu kingine kwenye mdahalo sio siri hawa jamaa niliwapenda hawatoi matusi, hawapanic kabisa wanajibu kwa hoja na mwandishi wa habari alikuwa anatwanga kote kote sio wakina kibonde
 
Kule Bongo wananunuliwa kwa Sahani ya Pilau, aisee kumbe mambo bado sana kule.
 
mkuu acha kabisa yaani vijijini unajua kitu cha pilau ni adimu sana kwanza hata kuipika vijiji vingine havijui sasa wakiletewa siku moja akili yote hupotea tunatatizo sana sisi na ccm ndio mtaji wenyewe huo.
 
kenya wanapiga campain za uhakika sijaona sahani la wali au yale mafuso ya kubeba watu ili waje kwenye mkutano. vyama vya upinzani kuna kitu cha kujifunza kwa wenzetu, unajua campain nzuri na smart pia inaushawishi mkubwa sana wa kushinda maana kizazi cha leo mkituletea wali tutakula na hatukuchagui kabisaa, na kitu kingine kwenye mdahalo sio siri hawa jamaa niliwapenda hawatoi matusi, hawapanic kabisa wanajibu kwa hoja na mwandishi wa habari alikuwa anatwanga kote kote sio wakina kibonde
CCM+Kampeni.png

Huku kwetu ni mwendo wa kugawa PILAU na WALI MAHARAGE kwenye kampeni...

Kuna mengi ya kujifunza kwa kweli
 
Back
Top Bottom