eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Haliwezi fika huko maana hapa Dar halina soko kabisa.pia wafanyakazi wake manapumulia mashine wako hoi maana hawana mishahara.Hili gazeti linachapishwa Tanzania, sijawahi kuliona huko kwetu Dongobesh........
Kwani anategemea Kula Kwa kuandikwa na gazeti la uhuru?Njaa ni mbaya, baada ya kesi kupungua, lissu sasa anatafuta kiki nchi za kimataifa
Mkuu wewe subiri miaka 20 utaelewa,......na kutokuelewa haraka siyo kosaNjaa ni mbaya, baada ya kesi kupungua, lissu sasa anatafuta kiki nchi za kimataifa
Vyombo vya propaganda vya chama chaoHaliwezi fika huko maana hapa Dar halina soko kabisa.pia wafanyakazi wake manapumulia mashine wako hoi maana hawana mishahara.
Siyo gazeti tu, hata redio na tv yao havina soko kabisa.