Uhuru wa simu...!

Nshawahi kuwa kwenye this kind of relationship inakera kwa kweli mtu anakufatilia ka polis umepanda daladala mtu anatumwa kwa toyo akufatilie utashuka wap' nikampiga chini.

nikweli inakera sana, kwa upande wangu nikigusia maswala ya kila mtu achukue 50 zake huwa anachanganyikiwa sana hadi namuonea huruma lakini hakomi, ndio maana naomba ushauri kama kuna njia mbadala ambayo naweza kutumia kuondoa hii kero ninayopata kutoka kwahuyu mwenzangu.
 
huyo jamaa hakufai dada......jiandae kwa kipigo baada ya ndoa..
 
Huyo mpenzi wako ni Mbunge wa Chama fulani nini?? Hizi ni tabia zaKibunge kabisaa.
Cell phone ni private ...ukiwa na bwana au bibi aliyezoea kushika simu yako au kupokea simu yako Ujue huyo mwenyewe sio mwaminifu. Mwanaume lazima ajiamini na moja ya kujiamini ni kutoshika simu ya mwanamke wako. Ukizoea kupekua lazima tunakutana na madudu ambayo yataua mahusiano yenu.
 
Inawezekana anataka kujua kwamba yuko peke yake?ila anatumia njia ya kienyeji sana kutaka kujua ukweli kwamba yuko peke yake...wewe kaa nae muulize ni kwa nn anafanya hivyo? Akikupa jibu rudi hapa utwambie.
 
siyohivyo mkuu, hata akikuta contact za wasichana anafuta, ingekuwa ni kwa wavulana tu wala nisinge jali sana
huyo ni mgonjwa anaitaji msaada wa sala,hebu futa zake chache afu akiuliza mwambie hutaki kuziona,ila vumilia makofi machache kama yatajitokeza
 

itabidi na mimi nianze kupekua ya kwake ili nione na yeye ata feel aje

labda naweza kuta madudu kama unayosema
 
itabidi na mimi nianze kupekua ya kwake ili nione na yeye ata feel aje

labda naweza kuta madudu kama unayosema
Madudu utayakuta tu mama hilo sio Swala la kujiuliza. Let's be honest..hata wewe kwenye simu yako si kuna MSG ambazo huwa una-flirt na rafiki zako wa kiume? Haimaanishi Kama wanakumega...lakini mwanaume wako akiziona hizo msg hawezi kukuelewa. That goes both ways (Men & Women).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…