Uhuru wa habari.

nowsasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
1,095
Reaction score
1,130
Ndugu zangu natumaini mko wazima wa afya njema. Yaani yanauomkuta mr Donald trump huku ktk nyuzi kama ingekuwa bongo nadhani watu wasiojulikana wangefanya kitu mbaya. Trump kabanwa sasa hivi, yuko hoiii. ..anaongea pumba na kujichanganya basi aibu tupu. Huu uhuru wa wananchi kumkosoa mkuu wa nchi bila woga ni mfano wa kuigwa. Land of the free, home of the brave. Nadhani trump anatamani angekuwa rais wa tz matatizo yote angeyatupilia kule! Asipo angalia anaweza akaondelewa na jela juu.
 
Jiwe angejinyonga kwa frastresheni
 
Huku jiwe letu ni katiba, mahakama, na bunge. Pia kuna vikazi vidogo vidogo navyo anavitamani kama u-IGP, ubunge wa Arumeru East na pia anatamani sana atambuliwe kama moja ya wanasayansi wavumbuzi hapa duniani...si unajua ana PhD ya corowshow halafu nyie wabongo kwa wivu ulivyo wajaa hata hamtaki ku-acknowledge🤣
 
ohooo ndio maana kang'ang'ania kupora koroshow sio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…