Hiyo video imerekodiwa na simu?Watu walikuwa wengi hapo, Kuna waliokuwa wanachukua kwa simu na ndio hapo wameisambaza habari.
Uhuru wa habari wa kuchukuwa video kwa mtu anayeumwa? Kweli hii nchi ina wajinga. Yaani unasema kabisa huoni tatizo kuchukuwa vieo mtu anapokuwa kwenye maumivu? Umetoka mbuga gani wewe mtu usiyestaarabika namana hii.Watu walikuwa wengi hapo, Kuna waliokuwa wanachukua kwa simu na ndio hapo wameisambaza habari.
alikua hajachomwa chanjoChanjo ndo imemfanya aanguke , na taarifa hyo ingezagaaa na criticism iliyopo kwenye jamii kuhusu chanjo kampeni ya kitaifa isingefanikiwa , maajabu ya hyo chanjo wanayajua ndo mana wanakusainisha fomu ya kujitoa endapo likitokea la kutokea , sio kwamba wanapenda na wao wapo under pressure of somebody
Wewe usichanjwe, hii ishu si nihiyari kwanini mnapata shida?Chanjo ndo imemfanya aanguke , na taarifa hyo ingezagaaa na criticism iliyopo kwenye jamii kuhusu chanjo kampeni ya kitaifa isingefanikiwa , maajabu ya hyo chanjo wanayajua ndo mana wanakusainisha fomu ya kujitoa endapo likitokea la kutokea , sio kwamba wanapenda na wao wapo under pressure of somebody
MCHEZAJI MPIRA ANAPOKUWA AMEUMIA. SI ANAHUDUMIWA OPENLY ?Huu Ni uongo, matukio ya kuanguka yapo mengi na huwa yanaonyeshwa.
Ni wazi kuwa kuna Habari hazirushwi kwa sababu ya mashinikizo kutoka Serikalini. Moja ya vitu ambavyo vilikuwa vya hovyo awamu ya 5 ni suala la Kuminya Uhuru wa habari, kama habari ipo balanced sioni tatizo kwa nini isirushwe.
Juzi hapa kwenye mahojiano na BBC mama Samia alisema kuwa Uhuru wa habari upo. Ila hayo maneno yanapishana na alichofanya waziri gwajima, kwanza sioni tatizo lolote la kuzia kurusha ile habari ya Mtu kuanguka.
Watu wengi tu walishawahi kuanguka kabla hata ya janga hili la Corona, hivyo sikuona Kama ni tatizo hiyo habari ikirushwa. Kitendo cha kuwaambia waandishi kuwa wasirushe Hilo tukio ni wazi kuwa kuna mengi mnawaambia wasiyarushe hewani. Hii ni ajabu sana, bado safari ni ndefu.
Bado nawaza cha ajabu ni nini pale hadi kuzuia waandishi wasirushe lile tukio? Kwamba watu watahusisha na chanjo? Waziri Gwajima umekosea sana kuwakataza waandishi wa habari, na kuna kila dalili wataendelea kukatazwa kwenye mengine.
Huu Uhuru wa habari tunaosema kila siku upo wapi? Upo wapi? Hili suala linapaswa kupigwa vita kwa nguvu zote. Chini nimeweka video Waziri akikataza waandishi wasirushe tukio.
View attachment 1890597
Lengo la waziri sio kulinda privacy ya mgonjwa, bali lilikuwa na ajenda yake ndio maana alikuwa anawaambia wasirushe ile habari kwa kuwa huu ni mpango wa taifaUnachoweza kulalamikia ni endapo Waziri au mamlaka husika imezuia tukio hilo lisitangazwe wala kuchapishwa kwenye vyombo vya habari - kama TAARIFA YA HABARI.
LAKINI huwezi kudai hiyo video irushwe kwenye tv tena mubashara. Huo sio uhuru wa habari. Sheria za maadili ya media haziruhusu. Ni kama kumrekodi mgonjwa anapokata roho na kuirusha live.
Ndio uhuru wenyeweWatu walikuwa wengi hapo, Kuna waliokuwa wanachukua kwa simu na ndio hapo wameisambaza habari.