Kama mada hauwezi kuchangia ni bora ukapita kimya kimya tu, na sio kuanza kutoa maneno ya shombo. HESHIMA NI KITU BORA SANA.Ukiandika jambo la maana watu watachangia kistaarabu lkn ukiandika mashudu watu wataishi na wewe perpendicularly mfano Kuna mwamba humu alileta thread anasema hawezi sex na demu wake kama hajavaaa chupi kichwani.... unategemea replies zipi hapo
Mkuu si kwa kipindi hiki chetu cha sasa.Ukiandika jambo la maana watu watachangia kistaarabu lkn ukiandika mashudu watu wataishi na wewe perpendicularly mfano Kuna mwamba humu alileta thread anasema hawezi sex na demu wake kama hajavaaa chupi kichwani.... unategemea replies zipi hapo
😂😂 unataka kusema ukiwa nyumbani kwa Mungu unapata mawazo ya kaziniHayupo wa kuyazui mawazo mbadala,hata Mungu hawezi
Yes,pia mimi ninao uamuzi wa kumuabudu mungu au nisimuabudu,pia Hawa aliamuwa kufuata mawazo mbadala ya kula tunda,kwanin mungu hakuzuia!?😂😂 unataka kusema ukiwa nyumbani kwa Mungu unapata mawazo ya kazini
Naunga mkono hojaSomo la kustahimili kero linatakiwa liwekwe kwenye mtaala..
Eti hapa JF napo mtu anataka ubehave like una behave kwa baba mzazi.. ni ngumu..Naunga mkono hoja
Wewe ni Mwanaume, kama sio basi wewe ni Mwanamke Muhuni.Eti hapa JF napo mtu anataka ubehave like una behave kwa baba mzazi.. ni ngumu..
Baba akitoa boko nyumbani natulia kimya.. ila hapa jf wee 😂😂 utakula mpopoleo wa kila aina.
Labda ndo mana wengine wamebandikwa majina ya dot.com kutokana na kufanana fanana katika comments (matusi au off points) wanazotoa humu kwani hawajali kwamba pia humu wapo baadhi ya wakubwa wanapita-pita.Tena hili la kujadili mada tofauti. Ni 100% lazima kitu kijadiliwe tofauti. Na matusi lazima yawepo.
Mitandao kama quora, ukiona watu wanavyochati utajua tu hawa watu wanafikiri nini na inakupa picha nzima ya watu hao.
Miaka 2006 mpaka 2010 thread nyingi zina staha sana.
Wewe ni mtu usiye amini katika uhuru wa mawazo.Aisee!
WATU KAMA NYIE DUNIA HUWA INAWAREKEBISHA VILE MNAVYOSTAHILI.
Unajiona mjanja kwa kuwa upo nyuma ya Keyboard lakini ipo siku utafanya upuuzi kwa watu wengine na watakushughulika ipasavyo.
Kabisa dada yanguEti hapa JF napo mtu anataka ubehave like una behave kwa baba mzazi.. ni ngumu..
Baba akitoa boko nyumbani natulia kimya.. ila hapa jf wee 😂😂 utakula mpopoleo wa kila aina.
Haha nina B+ nadhani..Unaweza kuvumilia kero?