Uhuru Peak Interview

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
Anayejua hii kampuni kuna mdogo wangu amepigiwa simu jumamosi aende holiday in hotel akafanyiwe recruitment anadai aliomba nafasi ya sales representative, aliyewahi kufanya kazi na hii kampuni vipi mazingira yao ya kazi yapoje.
 
Hiyo ni normal bar iko Kinondoni opposite na mango garden
 
Uhuru peak ama Uhuru height? Kama ni uhuru peak asee ni bar flani hivi iko maeneo ya kijitonyama.
 
uhuru peak n bar ipo kcmc karibu na masikio bar
 
Anayejua hii kampuni kuna mdogo wangu amepigiwa simu jumamosi aende holiday in hotel akafanyiwe recruitment anadai aliomba nafasi ya sales representative, aliyewahi kufanya kazi na hii kampuni vipi mazingira yao ya kazi yapoje.

Kama kizazi chenu kinachanganya mambo hivi hawezinkupata hiyo kazi..uhuru peak au uhuru heights.?
 
Kama kizazi chenu kinachanganya mambo hivi hawezinkupata hiyo kazi..uhuru peak au uhuru heights.?

acha kulaumu kitu kama m.j.i.n.g.a wewe hujawah kukosea au kuliza kitu kama huna cha kumsaidia mtu nyamaza kuliko KUCHONGA MDOMO KAMA UNAVULIWA SKETI
 
jamani msaada hii interview inafanyika saa ngapi, nimesahau kdogo
 
So hii Uhurupeack inadeal na nn coz hata mm nimepigiwa simu tafadhar tueleweshane kwayule anayeielewa asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…