Uhuru Kenyatta: Serikali nyingi Afrika zinajiendesha kwa kukomoa matajiri

Unafikiri rais akiwa bepari atasema nini bila ya kuwatetea washirika wenzake?

Mind you Kenyans kazi mnayo kwa uyu rais bepari. Na mwezi ujapita tokea aapishwe ameshatangaza atayemrithi ili aendelee kulindwa yeye na mali zake.
 
Alienda kumuunganishia umeme baada ya kuona hali tete,matajili wameanza kufunga biadhara.kaona ngoja angalau ni mbembeleza.na hatahivyo bado wafanyabiashara wengi wakubwa wanafanya kwa wasiwasi,mguu ndani mguu nje.

Tangu zile kauli za matajili wataishi kama mashetani,kinyume chake walalahoi ndio wanaishi motoni kabla ya hata kufa.
 
Ameyasema hayo katika sherehe za uhure wa kenya leo,Nukuu

''Serikali nyingi Africa zinajiendesha kwa kukomoa matajiri ,wanaamini unaweza kumuimarisha mnyonge kwa kumudhorotesha mwenye nguvu...''

Nini maoni yako juu ya serikali yetu na kauli hii.
Angemalizia tu "kama serikali ya Magufuli" ingependeza zaidi.
 
Thibitisha unayozungumza, hapa sio kijiwe cha kahawa
 
unamfahamu Mo vizuri wewe??? amyway sio kosa lako........
 
ok kibiashara sio msafi kihivyo........ hana tofaut sn na kina lowassa,jk, et al
Acha maneno ya kijiweni wewe, hao wote uliowataja unaushaidi gani na uchafu wao zaidi ya kusikia maneno tu mitaani kwamba ni wachafu?, lete ushaidi wa uchafu wa kila mmoja kati ya hao uliotaja, wote tumesikia wakisemwa lakini hakuna hata mmoja aliyethibitisha kama hayo wanayosemwa juu yao ni kweli
 
jamani kenya na Tanzania ni tofauti ki katiba.Kenya ardhi ni mali ya mtu ilihali huku Tz ardhi ni mali ya serikali.
ukiona hivyo ujue nchi ya Kenya ilishauzwa kwa wenye nazo kama Kenyatta, Lord Dalmeira (sijui kama nimepatia jina)
 
ok km tunakubaliana kwamba ni kauli za vijiweni then safi, tuishie hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…