Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Kenyatta amesema ataheshimu uamuzi wa wakenya pamoja na katiba ya taifa na kuondoka uongozini atakaposhindwa
Ameyasema hayo baada ya kuulizwa suali na wanahabari huko Nyeri, iwapo yuko tayari kuondoka ofisini pindi tu atakaposhindwa
Jammeh alikuwa amedinda kubanduka ofisini baada ya kushindwa na Adama Barrow, lakini hatimaye kusalimu amri na kuamua kuacha madaraka na kwenda uhamishoni nchini Equatorial Guinea baada ya Jumuiya ya Ecowas kuingilia kati.
Chanzo : Radio Rahma