Uhuru Kenyatta aitishia mahakama ya nchi yake

Uhuru Kenyatta aitishia mahakama ya nchi yake

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,628
Reaction score
28,714
Asema hata vumilia kuona mahakama inaharisha uchaguzi wa mwezi wa nane. Asema atamshughulikia Raila kama mambo hayatakaa sawa.
-------------
transparent.gif

transparent.gif
transparent.gif


Uhuru's Announcement on Postponing August Elections
 
Huyu mkikuyu anajua kabsa
Round hii lazma jaluo
Ishinde na hatak kuachia
Hicho kiti anataka
Watembezane tena mapanga
 
Raila ajiandae kwenda kupumzika Chato kwa best yake.
mkuu ni mapema mno! Yaani issue ya Joseph K. (R.I.P) imevuruga mambo. Kuna sehemu hesabu hazijakaa sawa.
----
Kumbukumbu ya Saitoti(R.I.P) haijawatoka jamii yake ya Maa jinsi alivyotoweka na hii ya Joseph K.(R.I.P) ni chumvi juu ya kidonda kibichi kwa jamii ya Maa.
 
Ukabila mbaya sana.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi naona MACHAFUKO YA KIKABILA ndio fimbo anayichapiwa Kila mtu,awe RAO au UhuRuto.

Yaani unamuwahi tu mwenzako.Unamwangushia jumba bovu.

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
Mahakama za Kenya zina-exercise uhuru wao vizuri angalau, tofauti na hapa kwetu ambapo kuna tofauti ndogo sana kati ya mahakama na idara yoyote ya serikali.
 
Back
Top Bottom