Uhuru katika Mahusiano?

Umeliwa hapo andaa kisado cha machozi.
 
I think kwa wapendanao haitakiwi kufikia mkwanzano huo; hiyo sasa ni too much. Nadhani ni Afrika sijui, ambapo mambo yao wakati wote ni ^harakati za zimamoto^!??? Kuna haja ya kukaa na kupanga kama marafiki, katika mahusiano ama ndoa, mjue mnataka nini, mngependa ndoa yenu iweje, mngependa mawasiliano yenu yaweje, na kadhalika na kadhalika. Simu yoyote, wakati wowote ni muhimu maana linaweza kutokea jambo nyeti meanwhile wewe umejiwekea kanuni ya kutobudhudhiwa. ^Emergency^ ^dharura^ ^urgence^ ^emergencia^ that is obviously unkwepable!

Working, effective relationship = quality communication
 
Duuuh..kwaiyo asipokea Simu sawa...Mimi sikutaka kujua anafanya Nini Mimi nikitaka kuona Kama Kuna uwezekano wa kuonana tena niliuliza kwa text lakini hakujibu...Baada ya Muda mrefu anasema min nalalamika Sana...Sasa Kama Jambo limekukwaza ukae kimya TU?...

Mapenzi Ni compromise...Kila upande ushow effort,...
Mi naona yaani Ni Mahusiano Magumu Sana...Anasema nimsome nijue anataka Nini...namsomaje Simu hapokei, text zenyewe Sio mtu Wa kufunguka...

Eti nimuachie Mahusiano yeye ayalead... Kwaiyo mawasiliano Ni Mpaka yeye aamue....Mimi sisubirie tu ajisikie kuwasiliana
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Dah sijajua bado unasubiri nini, kweli mapenzi ni upofu hapo naona kama umeachwa ila bado hujaambiwa, sasa ww subiria kuambiwa
 
Simu unapiga Mara tatu

Asubuhi kumjulia Hali ameamkaje


Mchana kumsalimu siku inakwendaje


Na usiku kuongea nae siku imeendaje na kumtakia usiku mwema

Nb: unaweza usimpigie ukamtext tu au piga Mara moja tu

Au walokole nakosea?

Mimi napenda Sana halima wangu wa manzese anavyonisumbua na simu hujakaa sawa uko kwenye majukumu ukisema uwashe simu unakuta missed call 2 maana kazin nawekaga silence sipend usumbuf hapo nampigia anakua kanuna naanza kumbembeleza
 
Dah sijajua bado unasubiri nini, kweli mapenzi ni upofu hapo naona kama umeachwa ila bado hujaambiwa, sasa ww subiria kuambiwa
Ndo yametokea leo...hayo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Sema nini shida..

!??
 
Mtu kusema NAKUPENDA na kuonesha kwa vitendo Ni vitu viwili tofauti
 
Inawezekana kabisa umekutana na mtu ambaye anaamini katika methali ya "samaki mkunje angali mbichi". Anaona aku-treat kiugumu
ugumu kuanzia mwanzo ili baadae usimsumbue. Vinginevyo kwa ile umesema ni penzi jipya basi yupo kwenye harakati za kuvunja
mahusiano yake ya zamani hivyo mpe muda kidogo.

Nakutakia utulivu katika maamuzi yako.
 
Mbona unaonekana una picha kamili ya kinachoendelea. Mimi naona umejishauri vizuri sana.
 
Duh..
Pole..

Quit.
 

Pole sana dada, Hapo umeingia choo cha kiume.

Hakutaki huyo, malengo yake kwako yawezekana yashamaliza.

Wahi kumuacha yeye au jiandae kisaikolojia mda wowote umegaragazwa
 
Mkuu hapo hakuna kitu jamaa ana mtu mwingne hebu pumzika kwanza muache kama alivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…