Fafanua
Ingekuwa nanna hiyo Kila mahalo ingependeza kwa mustakabali mwema was taifa letu.
Aisee hadi CCM mmeunga mkono Chadema! Kweli Lissu Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
Mama D hii ni wapi? Hongera zao sana. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka! Tatizo ni Magu tu ndiye mpuuzi kuliko wote!
Aisee hadi CCM mmeunga mkono Chadema! Kweli Lissu Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
Ni amani au ni uogaMama Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Serikali yetu imefanya kazi kubwa sana kujenga umoja na kudumisha amani na ustawi tulio nao chini ya misingi ya uhuru na haki na hii inatusaidia sana katika jitihada za kukuza uchumi wa taifa letu. Tusisahau kwamba hakuna maendeleleo bila amani na tumshukuru Mungu kwa amani tuliyonayo[emoji120]
View attachment 1575345
Mungu ibariki Tanzania