UHURU DAY: TUWAKUMBUKE MASHUJAA WA UHURU WA TANGANYIKA

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,900
30,235
UHURU DAY: TUWAKUMBUKE MASHUJAA WA UHURU WA TANGANYIKA
Mohamed Said December 08, 2017 0


Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
(1922 - 1999)

MASHUJAA WALIONYANYUA SILAHA


Bushiri Bin Harith


Sultani Abdulrauf Songea Mbano
Shujaa wa Maji Maji

Selemani Mamba
Shujaa wa Maji Maji


MISINGI YA UTAIFA ILIYOWEKWA NA AFRICAN ASSOCIATION
1929 - 1954



Kushoto aliyesimama ni Ally Kleist Sykes, na kulia kwake ni
Abdulwahid Kleist Sykes, mbele kushoto ni Kleist Sykes
Mbuwane na Abbas Kleist Sykes. Katika hawa aliye hai ni Abbas.
Ukoo huu umeacha kumbukumbu nyingi kwa maandishi katika harakati za
kuunda African Association 1929 na kuunda TANU 1954. Picha hii imepigwa
mwaka wa 1942 Abdul aliporudi Dar es Salaam kutoka Lower Kabete Kenya
alipokuwa akipata mafunzo ya kijeshi katika King's African Rifles kabla
hajakwenda Burma kujiunga na Burma Infantry. Angalia utaona Abdul amevaa
sare ya Jeshi la Mfalme wa Uingereza. Ilikuwa akiwa Burma Vita Vya Pili Vya Dunia
(1938 - 1945) ndipo alipoamua kuwa 6th Battalion iliyokuwa na askari kutoka
Tanganyika waunde TANU wakirudi Tanganyika kudai uhuru.



WAZALENDO WAPIGANIA UHURU KATIKA TANU
1954 - 1961



Waasisi wa TANU 7 Julai 1954


Baraza la Wazee wa TANU

bDsE_bFCUP75DqnYl2UaXiMF-Q7AszTrjSIyeQPVL8YSyBf-t2CA6TJK-aEbiS8kxGY2AixY43w=w1366-h768-rw-no

Barua ya kujiuzulu kazi ya Mwalimu Julius Nyerere, 1955


Hamza Kibwana Mwapachu
(1913 - 1962)


Abdulwahid Sykes
(1924 - 1968)


Kushoto: Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdulwahid Sykes na Lawi Sijaona
katika dhifa ya kumuaga Nyerere safari ya pili UNO 1957



Kushoto: Bi. Tatu bint Mzee, wa tatu Julius Kambaraga Nyerere wa tano Bi. Titi Mohamed wanamsindikiza Mwalimu Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya UNO 1955


Kulia: Bi. Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Nyerere
Nyuma kulia: John Rupia, Rajab Diwani na Mama Maria Nyerere

UPINZANI WA SHEIKH HUSSEIN JUMA (UTP) 1956
NA
ZUBERI MTEMVU (ANC) 1958




Sheikh Hussein Juma
Vice President United Tanganyika Party



Zuberi Mtemvu
President African National Congress

MIKUTANO YA TANU MNAZI MMOJA NA JANGWANI 1954/55




Idd Faiz Mafungo (Mweka Hazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya) Mratibu wa safari ya Baba wa Taifa UNO 1955,
Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagamoyo, Julius Kambarage Nyerere, Abdu Kandoro na Haruna Taratibu Dodoma 1956


Kulia: Sheikh Issa Nasir, Oscar Kambona, Bi. Mugaya Nyang'ombe kulia kwa Mwalimu Nyerere Rajab Diwani
Karimjee Hall
 
kaka Moh'd said huyu mamba wa majimaji historia yake ikoje sioni popote kwenye historia niliyofundishwa habari zake?
 
Hivi, safari ya UNO Baba Kabwela (Mwl. Nyerere) alikwenda na nani kutoka Tanganyika? Alikwenda peke yake?
 
Wanaosema Nyerere alipigania uhuru peke yake...watasema hizi ni pichaduka.
 
Mzee Mohamed Said .
Shikamoo.
Hakika wewe ni hazina kubwa sana kwenye historia ya nchi hii.
Watu wengi wenye kuijua historia yetu ama wameshatangulia mbele za haki ama ni wabinafsi (selfish) wa kuiweka historia ya nchi hii kwenye sehemu sahihi itakaposomwa na watu wengi kama unavyofanya.

Kuna mambo mawili ya ziada niliyogundua:
-Waislamu wana mchango mkubwa sana kwenye uhuru wa taifa hili.
-Mzee Mohamed Said hajapewa heshima kama kuwa mkuu wa kumbukumbu za taifa (National Archives Conservator)

Binafsi nakupongeza sana kwa kutokuwa na choyo ya kuielezea historia na hakika Mwenyezi Mungu tu ndiye atakulipa.

Nakuombea maisha marefu sana yenye mafanikio tele.
 
Mzee Mohamed Said .
Shikamoo.
Hakika wewe ni hazina kubwa sana kwenye historia ya nchi hii.
Watu wengi wenye kuijua historia yetu ama wameshatangulia mbele za haki ama ni wabinafsi (selfish) wa kuiweka historia ya nchi hii kwenye sehemu sahihi itakaposomwa na watu wengi kama unavyofanya.

Kuna mambo mawili ya ziada niliyogundua:
-Waislamu wana mchango mkubwa sana kwenye uhuru wa taifa hili.
-Mzee Mohamed Said hajapewa heshima kama kuwa mkuu wa kumbukumbu za taifa (National Archives Conservator)

Binafsi nakupongeza sana kwa kutokuwa na choyo ya kuielezea historia na hakika Mwenyezi Mungu tu ndiye atakulipa.

Nakuombea maisha marefu sana yenye mafanikio tele.
Arushaone,
Marahaba na Amin.
 
Micere Githae Mugo (1973) "I took my Son by the Hand"

I took my son
by the hand
felt the warm flow
of young blood
comfort my cold
heart

This way we trekked
five long miles
to attend celebrations
It was
the season of peace.
Away with agitators.
Love and brotherhood juu
Division and hatred chini!

We heard of
selfless sacrifice
Condemned
selfishness
Damned
laziness
Extolled
industry
Celebrated
freedom
Carried bursting fruit baskets
high high high
on elevated haughty heads

Towards sunset
we set out
for home
my son’s little warm hand
inside mine
he in his world
me in mine
Mother, he asked
Do we have
matunda ya uhuru
in our hut?
I laughed foolishly

Mother!
Yes son
Do we have
some?

Silence

May I eat one
when we get there?
Move on son
darkness is looming fast
around us.
 
Wajukuu zanguuu.
Kipindi tunapigania Uhuru. Tulipata tabu Sanaa.
Nilimkaba mwingereza mmoja koromeo mpaka aita mama nakufaaa.
 
Back
Top Bottom