UHURU: CHADEMA yapasuka

hapo nape anatoa vipimo vyake kwa ajili ya ku VAA GWANDA maana gamba limechakaa nalinachanika kila kukicha WANA CHADEMA wenzangu vipi tumpokee au?
 
Unajua hawa mabwana ndio tabia yao ya Uhasama,chuki,kutosikilizana na Kujikweza pamoja na kimbelembele kisiko na maana yeyote.Hapo hawajashika nchi tayari wanatofautiana;Je,wakipata nafasi si ndio balaa?

Ni hayo tu.
 
Wana UHURU wa kuandika lolote kama jina la gazeti lisemamvyo as long as linawapendeza wakubwa wao. Siku hizi kuna toilet papers, hata wenzetu wa bush kuchambia wanaona soo.
 
huyu mhariri wa haka kagazeti anazidi kukachimbia kaburi kagazeti kao, wao wangetumia kitengo cha uenezi kueneza zaidi mazuri ya chama chao yaliyo tekelezwa (kama yapo) labda chama kingejaribu kuokoka
 
Wakuu mmebishana sana kuhusu hilo suala kiasi cha kumshambulia MOD. Sasa naomba kila mmoja wenu asome HAPA halafu kila mmoja atulie kimya..!

Tatizo la pro CDM wanajiaminisha kuwa viongozi wao ni miungu watu kwa hiyo hawakosei. Badilikeni, penye tatizo rudini nyuma muweke mambo sawa. Hao ni binadamu tu. Kuna wakati wanakosea pia.
 
Hili gazeti nadhani zaidi ya kuwa la ccm pia mhariri ni nape akisaidiana na gamba mwenzie mkama. So watanzania maposoma akili kichwani mwenu

Wanaendelea kudanganya wananchi kama serikali yao.kwakujua kuwa gazeti lao nimepoteza mvuto na yamebaki kusomwa na taasisi za serikali na baadhi ya ofisi za magamba.wanaandika story za uongo ili wananchi wanunue watu hawadanganyiki mazeee
 
Yaani nitoke hela yangu mfukoni ninunue gazati la Uhuru! Halina hata kitu cha maana, tunaliweka kwenye categori ya magazeti ya udaku.

Bora gazeti za udaku zinatoa udaku uliotokea kweli ila hawa wanalala wanaoto CDM wamechukua nchi wanakuja na uongo wao wakidhani wanaiumbua kumbe wanajiumbua wenyewe.
 
Umewapa ushauri mzuri sana mwanzisha mada, ila sasa ukishakuwa mtu wa propaganda ni propaganda mwanzo mwisho
 
Chadema si muanze tu kuwa taasisi ya biashara?? Siasa hamuwezi. CCM ndo baba yenu
 
Tulishawazoea walisema eti wazee hawaitaki CHADEMA Arumeru Mashariki mbona tulichukua jimbo!
 
Propaganda za kizamani zinazoratibiwa na mchovu Mukama akisaidiana na Nape!
 

Poleni sana CCM naa gazeti la Uhuru. Inajizika yenyewe halafu italaumu wapinzani kuwa wameibomoa!!

RIP CCM
 
chama cha machangu! kwisha habari yake! lol
 

huyu mhariri niwale waliosomeshwa na kulishwa na CCM ANAOTA NDOTO ZA MCHANA HUYO.
 
Mimi binafsi hii hoja ya Dr Slaa kuwa timua timua viongozi siungi mkono.Niko upande wa Mwenyekiti Mbowe na daima nitakuwa hivyo mungu mjalie Freeman awe Rais wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…