jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,412 Reaction score 5,013 Aug 18, 2015 #1 Ni Rais pekee wa Afrika mashariki ambaye hajawahi kuwa mwanajeshi, lakini kila siku anapiga mapicha akiwa kavaa sare! Sijui ana compensate ka inferiority complex mbele ya marais wenzie? :biggrin1:
Ni Rais pekee wa Afrika mashariki ambaye hajawahi kuwa mwanajeshi, lakini kila siku anapiga mapicha akiwa kavaa sare! Sijui ana compensate ka inferiority complex mbele ya marais wenzie? :biggrin1:
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,225 Reaction score 7,083 Aug 18, 2015 #2 Atakuwa alipitia JKT ya Kenya,Mbona anapiga salute vizuri tu?:mvutaji:
jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,412 Reaction score 5,013 Aug 18, 2015 Thread starter #3 GwaB said: Atakuwa alipitia JKT ya Kenya,Mbona anapiga salute vizuri tu?:mvutaji: Click to expand... hajapita. na sidhani kenya walikuwa nayo miaka hiyo.
GwaB said: Atakuwa alipitia JKT ya Kenya,Mbona anapiga salute vizuri tu?:mvutaji: Click to expand... hajapita. na sidhani kenya walikuwa nayo miaka hiyo.
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Aug 18, 2015 #4 GwaB said: Atakuwa alipitia JKT ya Kenya,Mbona anapiga salute vizuri tu?:mvutaji: Click to expand... Hata kupiga saluti mgogoro, cheki kiganja cha mkono wake wa kulia ulinganishe na wenzake....
GwaB said: Atakuwa alipitia JKT ya Kenya,Mbona anapiga salute vizuri tu?:mvutaji: Click to expand... Hata kupiga saluti mgogoro, cheki kiganja cha mkono wake wa kulia ulinganishe na wenzake....
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,545 Aug 18, 2015 #5 MasterP. said: Hata kupiga saluti mgogoro, cheki kiganja cha mkono wake wa kulia ulinganishe na wenzake.... Click to expand... Hajapiga saluti, amenyoosha mkono kwa woga!
MasterP. said: Hata kupiga saluti mgogoro, cheki kiganja cha mkono wake wa kulia ulinganishe na wenzake.... Click to expand... Hajapiga saluti, amenyoosha mkono kwa woga!
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,070 Reaction score 3,792 Aug 18, 2015 #6 aliruka steji nini
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 18, 2015 #7 Ni amri jeshi mkuu hata akivaa nguo za trafic sawa tu.