Uhuni wa shule binafsi

Hata mimi nimepigiwa simu eti hela ya school bus nadaiwa nikashangaa sana uzuri mimi nina file la mwanangu la kutunza kumbukumbu zake pia ni financial file la mambo ya transaction zote nilizofanya ambazo zina umuhimu wa kutunza receipt zake.Nimewafuata shuleni nikiwa na file wameanza kurukana.
 
Kwa wahaya pale tabata ata usiwapeleke mpaka kinyozi ni muhaya pale[emoji23][emoji23].
.
Wapeleke St ann ipo mbezi luis mmiliki wake nae ni muhaya (mbunge wa bukoba) ila haina itikadi za kihaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walininyim tenda baada y kujua c muhay......pale hadi konda wa school bus muhay had mesenj....kum....nina zao hili kabila wanajua kubeban aiseeee
 

Ila Tusiime nayo ni binafsi blaza/sister. Angalia usije kuwa unaruka kojo na kukanyaga kubwaa.
Ni ushauri tu lakini [emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji53]
 
Mkuu usawa huu cheke. Chea unapeleka private?
 
Hilo ni tatizo dogo tu kama maswala ya upande wa elimu yapo sawa na inawezekana pia hao ni wahasibu tu na mwenye shule hana taarifa so wasiliana na uongozi wa shule ili waweze kuliondoa hilo tatizo
Jaribu kuondoa tatizo na siyo kukimbia tatizo sasa tuseme kama tatizo ni kwa wazazi wote means kila mmoja anakimbia,

Hilo siyo sawa kabisa kuwa karibu na uongozi wa shule ili kujua kila hatua ya maendeleo ya shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…