Uhuni wa shule binafsi

Mkuu tukubali tukatae,usawa wa kijinsia unapatikana kwa kuwapa binti zetu elimu bora kwanza.Ndio maana lazima tuhakikisha hawa binti zetu tunawaempower ili wapate elimu bora kabisa
 
Jingine Ni taaluma ya mwanao waweza kuta watoto 100 wote wanna aandikiwa wamekuwa wa 1,2,3 hasa hufanya hivi kwa watoto ambao hawaishi karibukaribu
 
Hii shule haipo Maeneo ya Kibo na tawi lingine Mabibo kweli
 
😂😂😂😂😂😂nimecheka ila sikutakiwa kucheka!..pole
 
Hili jambo ni kweli, mimi nililetewa deni la Tsh 87,500/= nikamtuma mama la mama akafuatilie ilo suala maana najijua kwa hasira
😂😂😂... mimi mwenyewe wanangu wamekaa 6mths bila kuwapa vitabu.. nikawa naogopa kuwzukia shule maana sijui nn kingetokea.. aisee nilivyoenda siku 1😂😂😋mume wangu akasema ww utafanya watoto wafukuzwe shule nilicharuka
 
Jingine Ni taaluma ya mwanao waweza kuta watoto 100 wote wanna aandikiwa wamekuwa wa 1,2,3 hasa hufanya hivi kwa watoto ambao hawaishi karibukaribu
Mimi naujua huu mchezo so huwa ninchofanya ni kuangalia maendeleo ya mtoto vis nafasi yake darasani.Kuna mambo ukiona mtoto yanampiga chenga basi umeliwa
 
Ungwagawia kelebu za haja kama ulivyorithishwa na Juma jamba
 
Kwa wahaya pale tabata ata usiwapeleke mpaka kinyozi ni muhaya pale
.
.
Wapeleke St ann ipo mbezi luis mmiliki wake nae ni muhaya (mbunge wa bukoba) ila haina itikadi za kihaya.
Ile ndo haifai kabisa wezi was mtihani na upuuzi mwingi ada inabadirika kila term.
 
Mimi naujua huu mchezo so huwa ninchofanya ni kuangalia maendeleo ya mtoto vis nafasi yake darasani.Kuna mambo ukiona mtoto yanampiga chenga basi umeliwa
Halafu Kuna jingine la kubadilisha karatasi za mitihani ya watoto hasa wa madarasa ya chini awali - darasa la 4 kwa kuwa aandikia majina watoto ambao wana ukaribu na wazazi wao wenye mpunga mrefu ili kuchota Ankara toka kwao.halafu mitihani ya hao gojogojo hupewa wasio na mpunga mrefu.ila ubora wa elimu ya mwanao utaipata ktk mazoezi utakayompa home na katika mitihani ya Baraza ANAFUMUA MBAYA
 
Endeleeni na Elimu Bure,wachagga wanasomesha watoto wao kwa mamilioni ya hela alafu wakipata uongozi mbalialia uoendeleo na kulipiza visasi kama huyu jamaa wenu wa sasa
 

Kwahiyo wanao wanafundishwa na kenge sio, sijui akili zao zitakuwaje!!??
 
mpeleke st.kayumba huko ni kununua uniform na kuwastress walimu tu akija dc!
 
Kwanza haijaongoza kitaifa,imeongza Dsm kitaifa in ya sita lakini kwa kuiba mtihani.Hiyo ndo Sera yao siku zote.
Sikutaja nafasi iliyoshika boss kwa DSM yenyewe ndo namba moja na kitaifa ni kama ulivyosema wewe. Mtoto ni mara mia tatu umpeleke st ann kuliko shule zingine.
.
Green acres wanavimwalimu vya ajabu sana mwalimu ana division 4 ya 32 anamfundisha mtoto kizungu nilishangazwa sana, lakini st ann wapo strictly kwenye ufundishaji wao
 
Kuna shule inaitwa Brain Trust School acha kabisa yaani bado wiki shule ifungwe halafu mwanangu kaandikiwa barua eti anadaiwa 90,000 ya usafiri kumamae nikasema hapa walimu watakuwa wanatafuta hela ya sikukuu sitoi hata senti
 
Nasikia kuna baadhi ya shule wanafunzi wote darasani wanakuwa top 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…