Wasiwasi wako tu;Kuna kamchezo Fulani kachafu sana kanafanywa na wamiliki wa shule za private ( Nursery and Primary ).Usipokuwa makini unaweza kuingia kingi.
Ni hivi nasomesha Watoto wawili shule mbili tofauti.Mmoja class 5mwingine chekechea.
Ada nishamaliza kote but nimeletewa memos.
Wa std 5 memo inasema nadaiwa laki tatu na ishirini.
Wa vidudu memo inasema nadaiwa laki na 39.
MY REACTION
Wa Std 5 nikaandika barua kwenye uongozi wa shule kuwaomba wanipe ufafanuzi wa deni langu.Barua iliambatana na nakala za malipo niliyo Fanya kwa mwaka mzima.
Naona wakawa wapole na kujikausha as if they wrote nothing to me.
Barua yao ilikuwa inasisitiza eti pesa hiyo isipolipwa mtoto hatoruhusiwa kufanya mitihani.***** ZAO.
Sasa hivi wana agiza hela ya beach.
Wa chekechea nimewapigia simu wahusika kuwaomba wanipe ufafanuzi but kila nikipiga naambiwa ooh sipo ofisini ntakufafanulia vizuri nikifika ofisini and blah blah.
Leo nimewaibukia wakaanza kujikanyaga kanyaga mwisho wa siku naambiwa kuna makosa yalifanyika.
Kama mnatafuta hela ya xmass semeni nyie kenge nyie sio kubambikizia watu ***** zenu.
Nimekuwa disappointed na shule hizo mbili and mwakani Wanangu nawahamishia Tusiime pale najua hakuna longo longo.
Kama wameshindwa kuwa waaminifu kwa pesa kidogo kama hiyo inonekana hata taarifa wanazo nippa kuhusu maendeleo ya watoto ni za uongo pia ili kuni encourage niamini shule inafundisha vizuri.
FALSUS UNO FALSUS IN OMNIBUS ( FALSE IN ONE THING FALSE IN EVERY THING)
Tuweni makini sana na shule hizi
Vya bure ninaogopa gharama mkuu.Wasiwasi wako tu;
Inawezekana kuna tatizo katika utunzaji wa kumbukumbu za malipo za mwanao hapo shuleni.Cha kufanya wewe angalia maendeleo ya mwanao mwenyewe na sio kwa kutegemea ripoti ya mwalimu.Ila we ni tajri aisee watoto wako unawalipia laki nyingi hivo wakati uncle magu katoa elimu bure?
Sometimes unaweza uka una overpay mkuu.mimi watoto wangu wa kike ndo napeleka english medium primary ili wawe na class wasijenyanyaswa na wanume kama ninavyonyanyaswa ila wakiume napelekea Magufuli wajifunze kuwa fighters.All in All kupanga ni kuchaguaVya bure ninaogopa gharama mkuu.
Cheap is so expensive.
Mkuu hapo unazikosea heshima shule zetu zilizotutoa kimaisha ... je ni wangapi wanapeleka watoto wao private schools halafu mwisho wa siku mtoto anatoka mbumbumbu kuliko yule wa elimu bure? Think twiceMkuu mi mzaramo mkuu. Kizaramo bure maana yake ni hakuna. So elimu bure kwangu Hakuna elimu
kumbe wako hawasomi kayumba day elimu bureKuna kamchezo Fulani kachafu sana kanafanywa na wamiliki wa shule za private ( Nursery and Primary ).Usipokuwa makini unaweza kuingia kingi.
Ni hivi nasomesha Watoto wawili shule mbili tofauti.Mmoja class 5mwingine chekechea.
Ada nishamaliza kote but nimeletewa memos.
Wa std 5 memo inasema nadaiwa laki tatu na ishirini.
Wa vidudu memo inasema nadaiwa laki na 39.
MY REACTION
Wa Std 5 nikaandika barua kwenye uongozi wa shule kuwaomba wanipe ufafanuzi wa deni langu.Barua iliambatana na nakala za malipo niliyo Fanya kwa mwaka mzima.
Naona wakawa wapole na kujikausha as if they wrote nothing to me.
Barua yao ilikuwa inasisitiza eti pesa hiyo isipolipwa mtoto hatoruhusiwa kufanya mitihani.***** ZAO.
Sasa hivi wana agiza hela ya beach.
Wa chekechea nimewapigia simu wahusika kuwaomba wanipe ufafanuzi but kila nikipiga naambiwa ooh sipo ofisini ntakufafanulia vizuri nikifika ofisini and blah blah.
Leo nimewaibukia wakaanza kujikanyaga kanyaga mwisho wa siku naambiwa kuna makosa yalifanyika.
Kama mnatafuta hela ya xmass semeni nyie kenge nyie sio kubambikizia watu ***** zenu.
Nimekuwa disappointed na shule hizo mbili and mwakani Wanangu nawahamishia Tusiime pale najua hakuna longo longo.
Kama wameshindwa kuwa waaminifu kwa pesa kidogo kama hiyo inonekana hata taarifa wanazo nippa kuhusu maendeleo ya watoto ni za uongo pia ili kuni encourage niamini shule inafundisha vizuri.
FALSUS IN UNO FALSUS IN OMNIBUS ( FALSE IN ONE THING FALSE IN EVERY THING)
Tuweni makini sana na shule hizi
Kwa mara ya kwanza nasikia falsafa ya kizaramoMkuu mi mzaramo mkuu. Kizaramo bure maana yake ni hakuna. So elimu bure kwangu Hakuna elimu
mbunge yupi lwakatare au rweikiza?Kwa wahaya pale tabata ata usiwapeleke mpaka kinyozi ni muhaya pale😂😂.
.
Wapeleke St ann ipo mbezi luis mmiliki wake nae ni muhaya (mbunge wa bukoba) ila haina itikadi za kihaya.
Lwakatarembunge yupi lwakatare au rweikiza?
Kayumba tulizo soma Sisi ni tofauti na hizi za sasa ambazo watoto wa drs la saba wanaulizwa swali:Mkuu hapo unazikosea heshima shule zetu zilizotutoa kimaisha ... je ni wangapi wanapeleka watoto wao private schools halafu mwisho wa siku mtoto anatoka mbumbumbu kuliko yule wa elimu bure? Think twice