Uhuni wa Dstv

Uhuni wa Dstv

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,189
Reaction score
29,748
TCRA wafuatilieni Dstv Tanzania.Yani mtu unanunua kifurushi ambacho unajua nitakuwa na Channels kadhaa but ghafla wanaondoa Channel fulani.

Kwa mfano kifurushi cha 19900/= kilijumuisha Channel 224 ambayo siku zote huwa ipo na imekuwa inaonesha LA LIGA,sasa iweje leo ghafla iondolewe?Si sawa,si sawa kabisaaaa.

Waziri Ndungulile simamia hili jambo Watanzania wanakandamizwa sana sana,tunaomba fuatilia.Iweje mtu akatiwe Channel katikati ya mwezi?Halafu wanaacha Channel 225 ambayo si angavu( HD)

Tanzania banaa!

Waziri Ndungulile wajibika katika hili.
 
Haya ndio maoni ya wadau, DSTV na TCRA

Screenshot_20210622-204011~2.png

Screenshot_20210622-203801~2.png
 
Wanazingua sana ...Wanatakiwa kuwajibishwa wameona EURO imefikia patamu wanaondoa channel 224 kutoka kifurushi Cha 19900 kwenda 29900 ... Huu upuuzi wao umeniudhi sana ..Bora mchina startime Kule kitonga afu hamna ubabaishaji
 
Nilichokifanya walipoondoa hiyo nimeweka bando kweNye simu yangu nikaunganisha na pc niweze kushare internet.

nikaingia mamahd.best kwisha kazi mevhi zote naziona nafanya Kuchagua tu.
 
Back
Top Bottom