Uhuni wa Dstv

Uhuni wa Dstv

TCRA wafuatilieni Dstv Tanzania.Yani mtu unanunua kifurushi ambacho unajua nitakuwa na Channels kadhaa but ghafla wanaondoa Channel fulani.
Kwa mfano kifurushi cha 19900/= kilijumuisha Channel 224 ambayo siku zote huwa ipo na imekuwa inaonesha LA LIGA,sasa iweje leo ghafla iondolewe?Si sawa,si sawa kabisaaaa.Waziri Ndungulile simamia hili jambo Watanzania wanakandamizwa sana sana,tunaomba fuatilia.Iweje mtu akatiwe Channel katikati ya mwezi?Halafu wanaacha Channel 225 ambayo si angavu( HD)

Tanzania banaa!

Waziri Ndungulile wajibika katika hili.
Halafu wanasema visimbusi tofauti ya matoleo vina uangavu tofauti
 
Tupe udambwidambwi Mkuu,inakuwaje hii?
Weka TP mzee baba...
Pitia huu Uzi
 
😂😂😂 na wanajua muda wa kuchomoa betri.... England Vs Ukraine hamtaiona
 
Hao Dstv ni wapuuzi sana, wanashusha signal kwa makusudi ili chaneli za HD zionyeshe scratch, ukienda na decoder yako waiangalie wanakwambia ni mbovu kutengeneza elf 30, chaneli wanaweka wanavyojisikia, mfano ile ya Euro HD wameiondoa bila taarifa yoyote.......hivi hawa Dstv wanafanya wanavyojisikia kana kwamba wapo juu ya sheria? TCRA hawaoni...
 
Kumbe...kuanzia saa kumi mpaka saa moja ch224 ilikuwa na scratch sasa hivi iko clear. Ina maana wanafanya kusudi?!!
Hao Dstv ni wapuuzi sana, wanashusha signal kwa makusudi ili chaneli za HD zionyeshe scratch, ukienda na decoder yako waiangalie wanakwambia ni mbovu kutengeneza elf 30, chaneli wanaweka wanavyojisikia, mfano ile ya Euro HD wameiondoa bila taarifa yoyote.......hivi hawa Dstv wanafanya wanavyojisikia kana kwamba wapo juu ya sheria? TCRA hawaoni...
 
Dish la Dstv Sasa hivi nimelielekeza Astra 2 nyuzi 28°.2, nacheki Euro Kama kawaida free of charge... kisimbuzi Chao nimekipaki mwezi wa tatu huu.
Kwa nyuzi hizo unatumia kisumbuzi gani kupata channel zingine. Na mimi nina hiyo Dstv haina kazi.

DSTV wapuuzi sana.
 
Mpaka uwe na kisimbuzi cha fta (receiver) au tv iliyo na fta receiver ndani na uwe mikoa ya Kanda ya ziwa au magharibi ya tz. Au kwa mikoa mengine unaweza ukatumia sateliye ya Nss 12 nyuzi 57° mashariki inayopatikana tz nzima

Nina dstv na tv yangu ina kingamuzi cha ndani n,niko nachingwea mkoa wa lindi je nitapata
 
Hii fta n nn mkuu tupe elimu
 
Dish la Dstv Sasa hivi nimelielekeza Astra 2 nyuzi 28°.2, nacheki Euro Kama kawaida free of charge... kisimbuzi Chao nimekipaki mwezi wa tatu huu.
Umetumia kisimbuzi gan mkuu kufanya utundu huo
 
Nina dstv na tv yangu ina kingamuzi cha ndani n,niko nachingwea mkoa wa lindi je nitapata
Tv ikiandika hivyo ndio inakuwa na King'amuzi ndani?
JPEG_20210704_091324_5038699837755282037.jpg
 
Hawa jamaa wameshakua wahuni siku hz ...mwenye maujanja ya FTA atoe Elimu hapa ..me Tv yangu Ina internal antena
 
Yakifika mashindano fulani ndo unaona signal zinasumbua, ukienda na decoder ofisini kwao lazima wakwambie mbovu utoe elf 30 ya kutengeneza, kumbe ni ujanja ujanja tu wa kupiga hela....TCRA msilale hapo fuatilia hawa wahuni.
 
Nimewaripoti TCRA, nitawapa mrejesho
 
Back
Top Bottom