Mkuu, Sijakuelewa Kabisa, Ebu jaribu kuunganisha Wazo la kichwa cha habari, picha na maelezo kidogo ili nipate mwanga maana imekuwa kama cartoon ya Kingo.