kama unaweza kunisaidia mawasiliano yake utakua umenisaidia sana.Kuna mmoja ana shughuli za Garage, tupo nae hapa Mkoani, na huyu ninaamini anaweza akawa msaada mkubwa kwako sababu jamaa anamiaka zaidi ya 8 akiwa kwenye biashara hiyo ya Garage
Mkuu, naona umefunga PM.kama unaweza kunisaidia mawasiliano yake utakua umenisaidia sana.
Bilashaka umeamini ninalo linenaPM ipo wazi mkuu.
Mkuu nichek pm kama uko serious nikupe mawasiliano ya kampuni itakayo kusaidia hitaji lako
Mkuu yatakua matatizo ya kimtandao tu. Lakini sijafunga PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Bilashaka umeamini ninalo linenaView attachment 1044009
Habari zenu wanajukwaa
Naomba msaada wenu ni wapi ninaweza kupata kampuni nzuri ya IT ambayo wataweza kunitengenezea system kwa ajili ya workshop yangu ambayo inafanya kazi sambamba na duka la spare. Kama kuna kampuni ya IT ambayo tayari wamekwisha kufanya hii kazi itakua vyema zaidi maana ni kazi inayohitaji maelekezo mengi na umakini wa hali ya juu.
Nina hitaji system ambayo ita unganisha shughuli za duka la spare kwa maana ya ku control stock movement na shughuli za matengenezo kwa maana spare nyingi zinatoka moja kwa moja dukani.
Nawasilisha.
Dah kaka nashukuru nmepitia hii thread sisi tunafanya shughuli hizo na hyo system tunayo ni moja ya kazi tulizowah fanya karibu CSM tupo kariakoo opposite na china plaza namba zangu ni +255754516975Habari zenu wanajukwaa