Wanajamvi natoa huduma za ushauri wa biashara na kuweka mfumo mzuri wa rekodi ya biashara yako na vile vile nategeneza mizania za biashara ( Financial Statements), umuhimu wake ni kuwa biashara yako inakuwa imekaa vyema katika maswala ya wewe kupata mikopo na vilevile kutozwa kodi stahili na hivyo kufanya biashara yako ikuwe na iheshimiwe kwa kulipa kodi halali.
Karibuni
Karibuni