Niliwahi kusikia lakn sikuelewa
Ndani ya Ukraine Kuna jamii ambazo Zina undugu na uhusiano na watu waliopo Russia, lakn wakat huo huo Kuna kundi la waasi ndan ya Ukraine ambalo Lina tetea jamii hiyo na linaungwa mkono na Russia.
Ukraine imeomba kuwa mwanachama wa NATO na zilikuwepo dalili za kukubaliwa uanachama kitu ambacho Russia haikubali kukaribisha adui (NATO) karibu na nchi yake
Kilaza nimefurukuta Hadi jasho