Uhasama kati ya Urusi na Ukraine sababu yake Nini?

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
17,057
18,406
Kwenu GT, kwa Sasa kuna wasiwasi wa Russia kuivania kijeshi Ukraine na maelfu ya wanajeshi wamewekwa mpakani huku mataifa makubwa yakiwataka raia wake kuondoka Ukraine.

Kwa wale wajuvi wa siasa na mahusiano ya kimataifa, je sababu ni Nini hasa Hadi Russia kutaka kuivamia Ukraine?
#Mbowe ni gaidi/siyo gaidi?
 
Kwa wale wajuvi wa siasa na mahusiano ya kimataifa, je sababu ni Nini hasa Hadi Russia kutaka kuivamia Ukraine?
Sababu kuu ni geographical position ya Ukraine,mrusi anahofia kama Ukraine akijiunga na NATO atamzingua kwenye issue za usafirishaji wa gas
 
Niliwahi kusikia lakn sikuelewa

Ndani ya Ukraine Kuna jamii ambazo Zina undugu na uhusiano na watu waliopo Russia, lakn wakat huo huo Kuna kundi la waasi ndan ya Ukraine ambalo Lina tetea jamii hiyo na linaungwa mkono na Russia.

Ukraine imeomba kuwa mwanachama wa NATO na zilikuwepo dalili za kukubaliwa uanachama kitu ambacho Russia haikubali kukaribisha adui (NATO) karibu na nchi yake

Kilaza nimefurukuta Hadi jasho
 
Imagine Ukraine ni mwanachama wa NATO na akaamua kuivaima Crimea ili alirudishe kwenye himaya yake.

Russia anaamini Ukraine ikiwa NATO nguvu zake zitakuwa zimedhoofishwa na NATO wanasema hakuna mtu wa kuwapangia nani ajiunge au asijiunge.
 
Niliwahi kusikia lakn sikuelewa

Ndani ya Ukraine Kuna jamii ambazo Zina undugu na uhusiano na watu waliopo Russia, lakn wakat huo huo Kuna kundi la waasi ndan ya Ukraine ambalo Lina tetea jamii hiyo na linaungwa mkono na Russia.

Ukraine imeomba kuwa mwanachama wa NATO na zilikuwepo dalili za kukubaliwa uanachama kitu ambacho Russia haikubali kukaribisha adui (NATO) karibu na nchi yake

Kilaza nimefurukuta Hadi jasho
 
Asante, kwahiyo anataka kuichukua Ukraine iwe mkoa huko Russia?
Duh! Swali lako lina maajabu yake!

Ukraine ni nchi huru yenye raia zaidi ya milioni 43. Jaribio lolote la kuiondolea uhuru wake litazaa vita, ugaidi na machafuko ya muda mrefu sana ambayo yatapeleka athari mpaka kwenye mataifa mengine ikiwemo hiyo Urusi yenyewe, ukizingatia eneo ambalo Ukraine ipo kijiografia.
 
Back
Top Bottom