Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI January 2013

Namour, mbona mfarisayo wako cjui mgalatia hatoi majina ukiingia anakurudisha ulikotoka au haya mambo ya mitandao yana m2 na m2? Please mkuu kama kweli 2saidie ili nasi tuchungulie. Pressure pressure jaman mtatuumiza wenzenu!
kweli kaweka sema mi sijui ningeweka humuhumu page tena topic yake haijachangiwa na m2 2mia pc mi cm file ni kubwa halifnguk.
 
Hello wanajamii forum,
Pls naomba mwenye full contacts za Mkurugenzi wa manispaa ya morogoro vijijini anipatie. Inaweza kuwa mobile number, Landline number, email adress n.k
Nitashukuru!
 
Back
Top Bottom