Uhamisho wa walimu umefunguliwa?

Uhamisho wa walimu umefunguliwa?

Mzalendo92

Senior Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
177
Reaction score
5
Hivi ni kweli kuwa uhamisho umefunguliwa kwani napata tetesi tu na ktk web ya Tamisemi hakuna tangazo
 
Mbona uhamisho umefunguliwa mkuu.
Mwezi wa 6 walimu wengi wamehamishwa. Lakini cha ajabu WAMEHAMISHWA BILA KULIPWA, NA WAKATI RAIS ALIKATAA.

WAKURUGENZI EBU WALIPENI WALIMU PESA ZAO,

MNAMHAMISHA MWALIMU BILA KUMLIPA MNATARAJIA NINI,

MBONA NINYI MNAPOENDA VIKAONI HAMJIKOPESHI?
 
Uombe uhamisho mwenyewe halafu tukulipe?
 
Sizungumzii, mtu kuomba,
Nazubgumzia uhamisho kwa mujibu wa sheria,
 
Wakuu naomba tupeane updates huko mliko. Hapa mkoani kwangu (Kanda ya Ziwa) nimepata kiginzi kwa uhamisho wa mwanangu kutoka kwa RAS, hataki kusaini majina ya watumishi waliopata uhamisho ayapeleke TAMISEMI. Vipi huko mikoa mingine uhamisho unaendelea kama kawaida?
 
Back
Top Bottom