Uhamisho wa walimu 2016

Uhamisho wa walimu 2016

matrona mshanga

New Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari za Leo wanajamii forum? Naomba kuuliza mwenye taarifa za uhamisho mwaku huu anijulishe plz ikiwezekana kama anajua unatoka lin
 
Wahusika ndo wanajuwa siku,wiki,mwezi na mwaka watakaoamuwa kutoa hayo majina
 
Hakuna ajuaye mkuu zaidi ya maafsa wa tamisemi km wamo humu ndani watusaidie taarfa
 
Bado Mkuu, Hata Kale Ka Increment Hakajatoka Pia, Tuendelee Kuwa Na Subra Ili Tuvute Heri
 
Back
Top Bottom