Uhamisho wa vibali maalumu June 2015

Uhamisho wa vibali maalumu June 2015

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,160
Reaction score
11,263
Habari zenu wadau wa jukwaa la elimu

Naomba kuuliza wenye taarifa juu ya hivi vibali vya uhamisho toka Tamisemi kwa watumishi wa umma huwa lini unatoka maana June imepita bado kimya.

Wenye uelewa asaidie tupate mwanga
 
Back
Top Bottom