gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 659
- 873
Wakuu nisiwachoshe sana. Mke wangu ana tatizo la moyo na kapata barua toka Muhimbili National Hospital kuwa anatakiwa awe karibu na hospitali hiyo kwaajili ya uangalizi, naombane ushauri anayejua taratibu nifanyeje ili mke wangu apate uhamisho wa vibali maalum toka TAMISEMI badala ya ule wa kuomba nafasi kwanza kule unakotaka kuhamia, mke wangu ni mtumishi wa halmashauri flani huko mkoani.