biarakeyz
Senior Member
- Jan 19, 2016
- 183
- 47
Habari zenu wakuu?
Mimi ni mtanzania nae takiwa kwenda kusoma chuo cha nje kupitia scholarship, mda wowote kuanzia sasa naweza kujiunga na chuo hicho kwajili ya usajili utaofanyika mwezi march.
Lakini kabla sijachaguliwa na chuo icho kilicho nje ya nchi tayari nilikuwa nasoma katika chuo kilichopo Tanzania na mkopo nilipewa asilimia zote, hivo nilikuwa nauliza kama kunauwezekano wakuamisha tarifa zangu za mkopo kuingiziwa katika account ya chuo chuo hicho kilichopo nje nachotakiwa kujiunga nacho hivi karibuni.
Msaada wa mawazo tafadhali.