Uhamisho wa mwenza

Uhamisho wa mwenza

mussa victor

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
116
Reaction score
163
Wadau,

Mimi nataka kumhamisha mke wangu from Dodoma to shinyanga yuko idara ya afya Tabibu nifuate step gani? naona sijui nianzie wapi.

Msaada wenu wakuu
 
Si umwambie mkeo afuatilie kujua taratibu za uhamisho zikoje...
 
Sababu za uhamisho ni nn??..kama ni ndoa je una vyeti ??japokuwa hiii sababu kuna kipindi walikuwa wanapuuzia sana....je huko anapokwenda kuna uhitaji wa hyo taaluma ?mana barua yakuomba kuhama inabidi ipitishwe hapo alipo na anapokwenda wanaoneshe kweli wanauhitaji wa huyo mtu na watampokea...ikifika hapo kazi imeisha..inabaki TAmisemi ku endorse tuu na kuhamisha taarifa za muhusika..
Kama nimekosea mtanirekebisha mana mm sio HRO na nipo nje ya Utumishi wa umma kwa mda sasa...
 
Back
Top Bottom