walikuyu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 972
- 2,090
Wakuu habari za jioni!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nauliza mfano umepata barua ya uhamisho kutoka wizara moja kwenda nyingine mfano tarehe 15/02/2023 ndio umepokea barua ya uhamisho na ukaiwasilisha kwa afisa utumishi kwa ajili ya kuweka taratibu vizuri za kuhama vipi kuhusu mshahara watakulipa wote au inakuwaje hapo?
Pia mfano ulikuwa unadai madai mbalimbali kwenye taasisi ambayo unataka kuondoka, vipi kuhusu madeni yako sheria imekaaje kabla ya kuhama ni lazima ulipwe kwanza madeni yako? au hata ukihama madeni yanaweza yakalipwa kipindi umeshahamia taasisi nyingine au lah?
Wajuzi wa mambo naomba kuwasilisha, mwenye kufahamu naomba atoe elimu tupate kujifunza kinaga ubaga.