Uhamisho Uhamisho! Uhamisho!

Uhamisho Uhamisho! Uhamisho!

mwalunyungu

Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
67
Reaction score
23
Mimi Mwl wa idara ya sekondari natafuta Mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje halmashauri ya Ngara na Mimi nihamie halmashauri ya Mji Geita. Kwa mawasaliano. 0782806017/0755420225
 
Kwani uhamisho umeruhusiwa ? Tumeambiwa ulisimamishwa kwa ajili ya uhakiki, na tukaambiwa uhakiki ni zoezi endelevu.
 
Back
Top Bottom