Mkuu subiri hadi zoezi la uhakiki wa wafanyakazi hewa likamilike.
Wakuu ni kwamba serikalini kwa sasa hakuna mchakato wowote unaoendelea kupitia utumishi...
ajira..uhamisho..promotions....vibali vya aina zote hakuna hadi uhakiki uishe...
Uhamisho huu hausishi kuongezeka kwa mshahara au nyongeza yeyote, kulingana waraka uliotoka . Subiri bado muda kidogo
Anamaanisha hauhusishi kuongezeka kwa mshahara yaani salary increment na kupanda madaraja kwa watumishi"hausishi"
unamaanisha nini hapo mkuu!!?
Anamaanisha hauhusishi kuongezeka kwa mshahara yaani salary increment na kupanda madaraja kwa watumishi
Mkataaa kwao ni mtumwa...Na mcheza kwao hutunzwa...
Njoo Njombe Mji aje Maeneo yafuatayo
Kilimanjaro (marangu)
Bagamoyo
Kibiti
Kibaha
Chalinze
Korogwe
Kisarawe
Kigamboni
Idara sec 0759007829
Rudi karibu na Kwenu ujiandalie mazingira ya kustaafuuu