Kazi kweli...Msipohamishwa mnalalamika, mkihamishwa mnalalamika pia.Nchi ya malalamiko. Sasa watu wana sababu za msingi kwanini wasihame? Halafu nani kakwambia kila anayehamishwa analipwa mizigo?
kazi kweli, tatizo lilopo ni mazingira ya sehemu wanayofundishia au shule ilipo, hakuna hosp, benk km 156 toka anapoishi, nyumba ndo ucseme ndo maana wa2 hawataki kusomea ualimu.
someni majina yenu ili mjue mnakopelekwa na kwa wale waliofoji barua tumeshawagundua fuateni taratibu mie nafurahi nimetolewa kijijini napelekwa mjini A town
Kweli kabisa. Nakuunga mkono mia kwa mia. Kuna maafisa elimu wengine huchukua miezi kumsainia mtu barua yake. Kuweka saini ni dakika moja tu lkn itachukua miezi kadhaa. URASIMU ni mwingi sana. Kwa mtindo huu wa kukatishana tamaa BIG RESULTS NOW haitafanikiwa hapa nchini.
Kazi kweli...Msipohamishwa mnalalamika, mkihamishwa mnalalamika pia.Nchi ya malalamiko. Sasa watu wana sababu za msingi kwanini wasihame? Halafu nani kakwambia kila anayehamishwa analipwa mizigo?