Duuuuh kwan bado? Wakati kureport 4m 5 kuanzia j3.Naomba kuuliza Kama waliofanya uhamisho kabla ya kuripoti walikopangiwa kama majina yameshatoka
Ndio, naomba kwa anaejua anisaidie mwanangu mpaka sasa hajui aripoti wapi.Duuuuh kwan bado? Wakati kureport 4m 5 kuanzia j3.
Wee ingia tamisemi angalia selection za 4m 5 2020/2021 then utaingia kweny shule aliyosoma mwanao, utaona kuwa amepangiwa wapi, fanya hivyo haraka iwezekanavyo.Ndio, naomba kwa anaejua anisaidie mwanangu mpaka sasa hajui aripoti wapi.
Me nilihamag kabl ya kuripot na nilifany mwenyew sio mzaz ni kitu rahis tu...nenda kwa afisa elimu wa mkoa ambapo unatak ahamie me nilitak nisome dar Ila nilichaguliw pwani so nilienda kwa afisa elimu mkoa pale ilala boma akanip barua nipelek shule ninayotak kuamia nilichagua Tambaza high school...na pia kule nilipochaguliw nilipelek ili wafute jina ...sikuwah kusom kule nilipopangiwa niliham juu kwa juuNaomba kujua jinsi ya kupata uhamisho kwa mwanafunzi aliyechaguliwa Kidato cha Tano. Mwanangu kachaguliwa Shule ya mbali mno na usafiri wa shida kufika.
Pia, hali ya hewa huko hataweza kuimudu kwani ni baridi kali mno
Sio lazim aripotAkisharipoti utaanza utaratbu wa kumuhamisha