KUITWA MAFUNZONI
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia wote waliofaulu usaili wa nafasi za ajira ya Konstebo, Koplo na Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji ulioendeshwa katika Kambi na Vikosi vya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuwa wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, Mtaa wa Loliondo Kurasini Dar es salaam Siku ya Alhamisi, Tarehe 10 Septemba, 2015 kwa ajili ya maandalizi ya safari ya kwenda kujiunga na Shule ya Polisi- Moshi hapo Tarehe 11 Septemba, 2015. fuata ukurasa huu kwa maelezo zaidi