Nimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na kitambulisho cha NIDA, ni mashart yepi ya kupatiwa passport?
Jengine tunaomba uhamiaji wabadilishe mfumo wa uombaji maana kila tunapo badilisha passport, ni mfumo ule ule wa kuomba passport kama upya ihali uhamiaji wa documents zote za uombaji wa passport ya mwanzo.
Haya ndio ma suali ambayo tunayo jiuliza wana diaspora.
Shukran

Ndio mjue wakati mnapita na mashangingi tumepanga foleni kuchukua ID starehe yake ndio hii leo naenda uhamiaji kamaraia napewa PPT tena wamepewana mda wa kutoa PPT..Watu wengi tu tupo hapa Tanzania hatuna vitambulisho vya taifa, utaratibu wa kupata vitambulisho vya taifa ni mbovu
Ulipata ppt kwa manual docs mkuu huuwakati wakielectronikianmns details zako lazima ziwe kielectronikia zaidi ...wape ushirikianoo kama unaipenda ppt yako..kuna point hii ya renewal, kwa kweli ni muhimu sana. Yaani passport unayo lakini ukenda kurenew ni kama vile unaanza upya kuomba passport wakati documents zote wanazo wao.
Sifahamu hasa kwanini tunapenda kusumbuana.
Ulipata ppt kwa manual docs mkuu huuwakati wakielectronikianmns details zako lazima ziwe kielectronikia zaidi ...wape ushirikianoo kama unaipenda ppt yako..
Umeona mkuuNilirenew passport before hii ya kisasa kuja. Nilijazishwa fomu kama vile sijawahi kuwa na passport. I am sure, information zangu za zamani walikuwa nazo kwenye system. Hapa ndio nnaposhindwa kuelewa kwanini mtu uanze kujaza upya.
Mimi yangu ina expire 2027 (nimerenew mwaka jana), kiuhalisia nikitaka kwenda kurenew, nawakabidhi yangu wananipatia nyingine, sio tena nianze kujaza mafomu wakati kila kitu kipo kwenye system.
Sababu kubwa iliyopelekea kitambulisho cha Utaifa iwe kigezo pale unapoomba passport (hati ya kusafilia) ni hivi, Taarifa zako zote kwa maana ulipozaliwa, ulikosomea, walio kuwa watu wako wa karibu katika makuzi yako na mengine mengi tu yako kweny fomu yako uliyo jaza wakati unaomba kitambulisho hicho cha NIDA,na kumbuka kuwa unapo jaza fomu ya kuomba passport maelezo yaliyoko kwenye hiyo fomu yanatofauti ndogo sana na fomu unayojaza wakati wa kuomba kitambulisho cha Taifa.Nimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na kitambulisho cha NIDA, ni mashart yepi ya kupatiwa passport?
Jengine tunaomba uhamiaji wabadilishe mfumo wa uombaji maana kila tunapo badilisha passport, ni mfumo ule ule wa kuomba passport kama upya ihali uhamiaji wa documents zote za uombaji wa passport ya mwanzo.
Haya ndio ma suali ambayo tunayo jiuliza wana diaspora.
Shukran
Sababu kubwa iliyopelekea kitambulisho cha Utaifa iwe kigezo pale unapoomba passport (hati ya kusafilia) ni hivi, Taarifa zako zote kwa maana ulipozaliwa, ulikosomea, walio kuwa watu wako wa karibu katika makuzi yako na mengine mengi tu yako kweny fomu yako uliyo jaza wakati unaomba kitambulisho hicho cha NIDA,na kumbuka kuwa unapo jaza fomu ya kuomba passport maelezo yaliyoko kwenye hiyo fomu yanatofauti ndogo sana na fomu unayojaza wakati wa kuomba kitambulisho cha Taifa.
kuna point hii ya renewal, kwa kweli ni muhimu sana. Yaani passport unayo lakini ukenda kurenew ni kama vile unaanza upya kuomba passport wakati documents zote wanazo wao.
Sifahamu hasa kwanini tunapenda kusumbuana.
Ili huduma unayoiomba ikamilike lazma ofisi za idala hizo kwa maana ya NiDa wajilidhishe kama kweli taarifa zako ulizoziandika ni sahihi, huwez kukupa kitambulisho cha Taifa bila kujiridhisha, pengine inawezekana ukawa sio Mtanzania, na kumbuka Utaifa ndo sifa namba moja.Sasa kwa diaspora wanao ishi nje ya nchi kuna utaratibu gani wa kupatiwa nida kwa haraka mno 3? Maana tunavyo sikia nida inapatikana baada ya mwezi baada ya maombi.
Liangalie ili jinga nalo, ,we utakufia hapohapo kwa mtogore, , sasa ilo swali gani unamuuliza mshkaji?? ulaya wanaenda wadangaji itakuwa mtu na akili zakeNa Wewe uko Ulaya Mkuu?
Nilivokuelewa point yako ni kuepusha mtu kuwa na uraia wa nchi mbili. Sawa lakini kama UK wanakubali dual citizenship, si watampa tu passport huyo mtu ata kama anayo ya Tz.Yani vitu computerised tunaanza upya na watanzania wasio na uraia wa nchi nyengine
2020Dead-line ya kubadilisha ni lini?
Mkuu si umjibu tu! Kuna shida gani! Mbona Mi nipo hapa Argentina na sioni shida kusema!Liangalie ili jinga nalo, ,we utakufia hapohapo kwa mtogore, , sasa ilo swali gani unamuuliza mshkaji?? ulaya wanaenda wadangaji itakuwa mtu na akili zake