Uhamiaji shortlisted tayari?

Shakur2014

New Member
Feb 20, 2014
2
0
Wadau naomba nijulisheni uhamiaji washatoa shortlisted na interview ni lini?! Nimesikia "hearsay" kuna watu wanaenda kwenye interview
 
Dont work on rumours,bado...kuwa na imani na hili jukwaa,utapashwa when things are out!
 
Wadau naomba nijulisheni uhamiaji washatoa shortlisted na interview ni lini?! Nimesikia "hearsay" kuna watu wanaenda kwenye interview

Wewe unaulizia Shortlisted na Interview?utasubiri sana na utakufa bila kelele kama walivyokufa wafuasi wa Kibwetere ndani ya Bweni,watu wapo mstari wa mbele Depo wiki ya tatu hii. Teh teh teh.....
 
Katika kundi la wanafiki,waongo na wambeya wewe ni kigogo wao!kama huna la kusema soma na upite...umenikera kweli muongo wa Jf
 
Wewe unaulizia Shortlisted na Interview?utasubiri sana na utakufa bila kelele kama walivyokufa wafuasi wa Kibwetere ndani ya Bweni,watu wapo mstari wa mbele Depo wiki ya tatu hii. Teh teh teh.....

such a man... deserves a khanga moko life style
 
Wadau naomba nijulisheni uhamiaji washatoa shortlisted na interview ni lini?! Nimesikia "hearsay" kuna watu wanaenda kwenye interview

usiwe na shaka jambo la msingi hakikisha cheti cha kuzaliwa,na std 7 umeambatisha na vyeti vingine usipoitwa si bure utakuwa mkono wa mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom