Namimi natamani kujuzwa hili.Hivi kwa wale tuliokuwa nazo tunataka kubadili tupate mpya tunaanza maombi upya kabisa kama hukuwahi miliki passport au kuna ka unafuu fulani
Mkuu kama nina ile ya kijani ya zamani nataka kupata hizi mpya, procedure ikoje...n starting point?2018 nilichukua ile ya kijani na miezi miwili iliopita nimechukua ya blue. Niliwaambia nasafiri naenda Dubai(sihitaji uthibitisho naenda kutembea) na SA(sihitaji uthibitisho naenda kutembea na sihitaji hata Visa).
Dawa yao waambie unaenda kutalii,taja nchi isiohitaji mwaliko wala Visa
Mahitaji yale yale,unajaza form ile ile ila utaandika kubadilisha. Form unajaza online,una upload documents zote unalipia kisha unapakua form unaenda nazo uhamiaji. Uwe naMkuu kama nina ile ya kijani ya zamani nataka kupata hizi mpya, procedure ikoje...n starting point?
Thanks in advance.
Procedures zile zile,utaandika tu kubadilisha badala ya maombi mapyaHivi kwa wale tuliokuwa nazo tunataka kubadili tupate mpya tunaanza maombi upya kabisa kama hukuwahi miliki passport au kuna ka unafuu fulani
ShukranMahitaji yale yale,unajaza form ile ile ila utaandika kubadilisha. Form unajaza online,una upload documents zote unalipia kisha unapakua form unaenda nazo uhamiaji. Uwe na
Cheti cha kuzaliwa
Kitambulisho cha taifa
Cheti cha kuzaliwa cha mzazi
Lazima uwe na kitambulisho cha taifa
Namimi natamani kujuzwa hili.
Vipi kama wazazi wametangulia mbele ya haki?