Uhamiaji kidogo kuna nafuu sasa

Uhamiaji kidogo kuna nafuu sasa

Wangefanya biashara wangesharudisha hela zao mapema sana. Passport milioni 1 wangepata bilioni 150
Kwani sasa hivi wanatoa bure? Bahati mbaya pp huwezi kumpa mtu kisa ana 150k tu
 
Wangefanya biashara wangesharudisha hela zao mapema sana. Passport milioni 1 wangepata bilioni 150
Pia teknolojia hubadilika haraka wakienda tatatibu watajikuta zinakuja za Aina zingine Kama ilivyotokea kwa passport ambazo zinabadilishwa Sasa hivi kuwa hazitatumika tena.Waongeze spidi ya kutoa ilinteknolikia hata ikibadilika wawe wameshavina pesa hasa.

Marekani huvuna mabilioni ya madola kwa eneo la passport na visa na kampuni zao za passport ni haki ya kila raia wa Marekani kumbe lengo lap huwa kuvuna pesa kupitia kuuza passport.

Na makusanyo ya visa ndio usiseme wakukubalie wakukatalie pesa washalamba
 
2018 nilichukua ile ya kijani na miezi miwili iliopita nimechukua ya blue. Niliwaambia nasafiri naenda Dubai(sihitaji uthibitisho naenda kutembea) na SA(sihitaji uthibitisho naenda kutembea na sihitaji hata Visa).
Dawa yao waambie unaenda kutalii,taja nchi isiohitaji mwaliko wala Visa
We kiboko hawajakuzingua kweli?
 
Tena huduma zote za affidavit vyapatikana karibu na uhamiaji
Kwanini wasikubali?
Vyeti vya wazazi kama huna unaenda kwa mwanasheria anamtengenezea mzazi affidavit
 
2018 nilichukua ile ya kijani na miezi miwili iliopita nimechukua ya blue. Niliwaambia nasafiri naenda Dubai(sihitaji uthibitisho naenda kutembea) na SA(sihitaji uthibitisho naenda kutembea na sihitaji hata Visa).
Dawa yao waambie unaenda kutalii,taja nchi isiohitaji mwaliko wala Visa
Hapa uliwaweza mkuu
 
NI card or number
Cheti chako cha kuzaliwa
Cheti cha mzazi au affidavit
Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
Uthibitisho wa safari(rahisi kuruka hiki kihunzi)
Gharama 150,000
Sasa uthibitisho naupata wapi wa hiyo safari yangu mkuu?
 
2018 nilichukua ile ya kijani na miezi miwili iliopita nimechukua ya blue. Niliwaambia nasafiri naenda Dubai(sihitaji uthibitisho naenda kutembea) na SA(sihitaji uthibitisho naenda kutembea na sihitaji hata Visa).
Dawa yao waambie unaenda kutalii,taja nchi isiohitaji mwaliko wala Visa
Nami nimetoka kuchukua yangu muda si mrefu. Nliwaambia naenda SA kutalii!
Imechkua siku 18 kukamilika.
Kongole kwao now mausumbufu na virushwa vidogo sijakumbana navyo!!
 
Hii tabia ya kuomba barua ya mwaliko imepitwa na wakati mno yaani ni ajabu sana...kwani tatizo ni nini?
Shida kubwa ni viza na Nauli kama ninavyo shida iko wapi?hii kitu inajenga hisia za ajabu sana,mbona nikitaka kwenda Iringa,Bukoba ,Nairobi.Bujumbura....huulizwi unafuata nini
Imeshawekwa hisia kuwa maisha ya ndani ni magumu na nje kuna maisha mazuri hivyo huenda wanahisi mtu atatorokea huko...lkn wanashindwa kutambua kuna nchi nyingi zinataka ticket yako tu hakuna haja ya viza mfano Malaysia, MTU unaweza kwenda kama mtalii wa kawaida.
 
Nami nimetoka kuchukua yangu muda si mrefu. Nliwaambia naenda SA kutalii!
Imechkua siku 18 kukamilika.
Kongole kwao now mausumbufu na virushwa vidogo sijakumbana navyo!!

Wala Rushwa wengi wamepigwa chini.
 
Back
Top Bottom