Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 412
- 367
Ni Vielelezo Gani Wanahitaji Na Gharama Ya Passport Ni Kiasi Gani Mpaka Unakamilisha ?2018 nilichukua ile ya kijani na miezi miwili iliopita nimechukua ya blue. Niliwaambia nasafiri naenda Dubai(sihitaji uthibitisho naenda kutembea) na SA(sihitaji uthibitisho naenda kutembea na sihitaji hata Visa).
Dawa yao waambie unaenda kutalii,taja nchi isiohitaji mwaliko wala Visa
2018 nilichukua ile ya kijani na miezi miwili iliopita nimechukua ya blue. Niliwaambia nasafiri naenda Dubai(sihitaji uthibitisho naenda kutembea) na SA(sihitaji uthibitisho naenda kutembea na sihitaji hata Visa).
Dawa yao waambie unaenda kutalii,taja nchi isiohitaji mwaliko wala Visa
NI card or numberNi Vielelezo Gani Gani Wanahitaji Na Gharama Ya Passport Ni Kiasi Gani Mpaka Unakamilisha ?
Unarukaje Mkuu Maana Wengine Safari Zetu Hazieleweki, Inaweza Kuja Ghafla.NI card or number
Cheti chako cha kuzaliwa
Cheti cha mzazi au affidavit
Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
Uthibitisho wa safari(rahisi kuruka hiki kihunzi)
Gharama 150,000
Red ni NIDA cardUnarukaje Mkuu Maana Wengine Safari Zetu Hazieleweki, Inaweza Kuja Ghafla.
Hapo Red: Unamaanisha NIDA Card or Number ?
Red ni NIDA card
Safari waambie unaenda vacation SA,haihitaji Visa wala mwaliko
Kama HUNA peleka VYA BABA NA MAMA.SIO LAZIMA VYA WAZAZIDuuh wanakubali??
Na vyeti vya wazazi kama huna??
Ugoro, Bhange na Tungi Vimewaharibu Kabisa Vijana Siku HiziKama HUNA peleka VYA BABA NA MAMA.SIO LAZIMA VYA WAZAZI
Kwanini wasikubali?Duuh wanakubali??
Na vyeti vya wazazi kama huna??
Aisee...uliwaonesha tiketi ya ndege au?I used only 4 days to get mine.
Imechukua wiki tatu hadi kupokea taarifa za kwenda kuchukua passport yangu. Ukiwa na taarifa zote naona usumbufu si mwingi sana. Ila kero yangu bado ni kwenye kuomba barua za safari. Kuna watu wanapanga kutumia passport Mwakani halafu nyie mnawaomba uthibitisho leo.
View attachment 1250522
Aisee...ilikuwaje?Mkuu mimi niliipata ndani ya siku 2
Ni Vielelezo Gani Wanahitaji Na Gharama Ya Passport Ni Kiasi Gani Mpaka Unakamilisha ?
Nilishikwa mkono tu na jamaa wa ndani mule, the good thing jamaa hakutaka hata Senti yangu, na ukamilifu wa dokomaa pia ulichangia.Aisee...uliwaonesha tiketi ya ndege au?