Uhamiaji imekanusha kuhusu Ajira

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,807
1,672
Idara ya Uhamiaji imekanusha taarifa kuhusu ajira iliyoanza kusambazwa mitandaoni kuanzia jana baada ya uzinduzi wa pasipoti ya kielektroniki.
PRESS RELEASE KUKANUSHA TANGAZO LA KAZI.png




Uhamiaji Tanzania: TAARIFA KWA UMMA
 
Hivi huwa ni mwiko kuitaja hiyo 'baadhi ya mitandao ya kijamii'?
Hii lugha ya mabano mwisho wa kutumika ni lini?
Kwa nini wanapata kigugumizi kutaja JamiiForums?
Au wanaliogopa na kuligwaya chama kubwa linaloendeshwa na mtemi Kisandu :eek:
 
Hivi huwa ni mwiko kuitaja hiyo 'baafhi ya mitandao ya kijamii'? Hii lugha ya mabano mwisho wa kutumika ni lini? Kwa nini wanapata kigugumizi kutaja JamiiForums?
Whatsapp, facebook, twitter, jamiiforums, tanzaniatoday.com, telegram, na instagram
 
Back
Top Bottom