JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 63
Wakuu naomba mnisaidie kwa wale waliowah kutumia hii simu ikoje inafanana kweli na original kwa muonekana umbo na ukiwasha ndan? Je ubora wa kamera na vp ram ile ya 1GB inafanya kaz vizur na je air gasture iko fresh? Naomba mnipanue uelewa.