Uhalisia wa mama mjamzito kumchukia 'mumewe'

Sorry, ila nafahamu Taurus [emoji243] ndio nyota Korofi katika mzunguko wa zodiac signs na pia ndio yenye mvuto hasa kwa wanaume wa ki-Taurus
Wenyewe wanaamini katika Eat! Pray! Love! ni wepesi na wagumu wa ajabu na ni wachache katika ulimwengu huu pia inasemekana wanafungamana na viumbe wengine kama aliens [emoji89] kiroho
Facts... Hata the masons wanaipenda sana
 
Ahaa nimegundua kwa nini mimi na Yule tunashindana..kumbe tunatoshana na mwenzangu hataki tutoshane haha
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jambo jingine kuhusu hizi nyota ni ushawishi uliofichika ndani ya wanawake/wasichana wa Cancer (Cancerous) Kaa! Hawa ni hatari katika mahusiano na ndoa hasa hasa wakati wa ujauzito
Hawa uamini hakuna zaidi yao kutokana na ushawishi waliokuwanao na hii hupelekea kuwa wenye dharau juu ya watu flani, wanawake/wasichana nyota ya Kaa ni wenye mvuto pia wazuri kuvutia fedha
 
Hivi mtua aliyezaliwa 1/8 nyota yake inaitwaje?
Astrology Zodiac Signs
+ MATCH
Zodiac Signs
Horoscope
Compatibility
Astrology
Astrology Blog

Our iPhone / Android Horoscope App
Information On Leo Astrology
LEO ZODIAC SIGN LEO HOROSCOPE

Element: Fire

Quality: Fixed

Color: Gold, Yellow, Orange

Day: Sunday

Ruler: Sun

Greatest Overall Compatibility: Aquarius, Gemini

Lucky Numbers: 1, 3, 10, 19

Date range: July 23 - August 22

Leo (July 23 - August 22)
LEO TRAITS
Strengths: Creative, passionate, generous, warm-hearted, cheerful, humorous

Weaknesses: Arrogant, stubborn, self-centered, lazy, inflexible

Leo likes: Theater, taking holidays, being admired, expensive things, bright colors, fun with friends

Leo dislikes: Being ignored, facing difficult reality, not being treated like a king or queen
 
Aloo nilikuwa nae mmoja. Na si kwamba alipata ujauzito hapana. Ila akiwa period ananichukia asilimia 90... yaan ahataki hata kuniona kwakweli.. period ikiisha anarudi wa kawaida.
Kwakweli niliuliza kama period ni hiv, akiwa mjamzito sindio ataniua kabisa huyu
Jambo jingine kuhusu hizi nyota ni ushawishi uliofichika ndani ya wanawake/wasichana wa Cancer (Cancerous) Kaa! Hawa ni hatari katika mahusiano na ndoa hasa hasa wakati wa ujauzito
Hawa uamini hakuna zaidi yao kutokana na ushawishi waliokuwanao na hii hupelekea kuwa wenye dharau juu ya watu flani, wanawake/wasichana nyota ya Kaa ni wenye mvuto pia wazuri kuvutia fedha
 
Hamna cha roho wala nn, wanawake huwa wanajidai tu na wanatumia hiyo nafasi kumpelekesha mume. Sasa kama ukiwa legelege utaisoma namba!!

Utashangaa anakwambia nataka biskuti, mara nataka maji hujakaa vizuri anakwambia nataka soda mara chips yai pumbaaafu kabisa[emoji41]
 
Aloo nilikuwa nae mmoja. Na si kwamba alipata ujauzito hapana. Ila akiwa period ananichukia asilimia 90... yaan ahataki hata kuniona kwakweli.. period ikiisha anarudi wa kawaida.
Kwakweli niliuliza kama period ni hiv, akiwa mjamzito sindio ataniua kabisa huyu
Kama nakuona ulivyochukua kama kigezo cha kumbwaga dada wa watu
 
Hamna cha roho wala nn, wanawake huwa wanajidai tu na wanatumia hiyo nafasi kumpelekesha mume. Sasa kama ukiwa legelege utaisoma namba!!

Utashangaa anakwambia nataka biskuti, mara nataka maji hujakaa vizuri anakwambia nataka soda mara chips yai pumbaaafu kabisa[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jini kisirani hataki kupelekeshwa
 
Astrology Zodiac Signs
+ MATCH
Zodiac Signs
Horoscope
Compatibility
Astrology
Astrology Blog

Our iPhone / Android Horoscope App
Information On Leo Astrology
LEO ZODIAC SIGN LEO HOROSCOPE
[emoji808]

Element: Fire

Quality: Fixed

Color: Gold, Yellow, Orange

Day: Sunday

Ruler: Sun

Greatest Overall Compatibility: Aquarius, Gemini

Lucky Numbers: 1, 3, 10, 19

Date range: July 23 - August 22

Leo (July 23 - August 22)
LEO TRAITS
Strengths: Creative, passionate, generous, warm-hearted, cheerful, humorous

Weaknesses: Arrogant, stubborn, self-centered, lazy, inflexible

Leo likes: Theater, taking holidays, being admired, expensive things, bright colors, fun with friends

Leo dislikes: Being ignored, facing difficult reality, not being treated like a king or queen
Asante sana for the needful
 
Aloo nilikuwa nae mmoja. Na si kwamba alipata ujauzito hapana. Ila akiwa period ananichukia asilimia 90... yaan ahataki hata kuniona kwakweli.. period ikiisha anarudi wa kawaida.
Kwakweli niliuliza kama period ni hiv, akiwa mjamzito sindio ataniua kabisa huyu
Ni hatari mi naona kuna umuhimu wa kufuata hizi nyota maana 90% zinaleta maana
Je wajua? Mabillionea 300 wa dunia asilimia 70 ni wazaliwa wa miezi ya 3,4,5 na 6 huku wakiwa na mahusiano baina ya miezi hiyo hiyo au 7,11 na 2
 
Back
Top Bottom