Uhalisia wa mama mjamzito kumchukia 'mumewe'

Uhalisia wa mama mjamzito kumchukia 'mumewe'

Linganisha nyota ama pata elimu yake
Binafsi huwa naamini katika nguvu halisi za kiroho, but ikija suala la nyota fulani kuwa kiwakilishi cha nguvu hizo hapo bado sijajikita zaidi. So may be labda kama kuna matendo ambayo yanaweza onyesha uhusiano
 
Kuna mawasiliano ya moja kwa moja kati ya roho na nyota....
 
Je ikiwa kinyume ,yaani baba anakuwa na "mood" kwa mkewe hii imekaaje?
 
Nyota unazijuaje mkuu. Na unajuaje kama zikiunganika ni tatizo?
Hata usipoamini bado zipo na zinafanya kazi... Maisha yako yako connected na galaxy hivyo hata kama huamini bado utendaji utakuwepo tuu
 
Sorry, ila nafahamu Taurus 🐂 ndio nyota Korofi katika mzunguko wa zodiac signs na pia ndio yenye mvuto hasa kwa wanaume wa ki-Taurus
Wenyewe wanaamini katika Eat! Pray! Love! ni wepesi na wagumu wa ajabu na ni wachache katika ulimwengu huu pia inasemekana wanafungamana na viumbe wengine kama aliens 👽 kiroho
 
Back
Top Bottom