Wandugu,
Sijui ni mtizamo wangu na wa baadhi ya watu? Kuwa kikifikia kipindi cha mfungo wa Ramadhani (Holly month)uhalifu unapungua sana sana. Vibaka wanapungua machangudoa wanaisha kabisa pamoja na utulivu sehemu nyingi za dunia una prevail hata maeneo ya vita vinapungua au kusimama kwa mwezi mtukufu.
Swali ni je?
1. Hawa waliofunga ndio wengi ndio watenda uhalifu?kununua machangu,kupora na ugaidi.
2. Hao wasiofunga ndio wanawatendea uhalifu waliofunga so kipindi cha Ramadhani wanawaonea huruma na kuwaheshimu so hawawasumbui?.
My take and my request
Kwa nn wanadamu tusiishi kama kila siku ni Ramadhani??

wanaofunga hao hao ndo wanaoacha kula. No offence but them sheihs are eating this thing like hell where i am! Eti wakifunga ndo wanaacha mhgh!Kweli tafiti yangu inaonyesha hata mdudu anashuka bei kwa poor deman, sasa sijui wasiofunga ndio wanafunga kula huyo mdudu?
Wandugu,
Sijui ni mtizamo wangu na wa baadhi ya watu? Kuwa kikifikia kipindi cha mfungo wa Ramadhani (Holly month)uhalifu unapungua sana sana. Vibaka wanapungua machangudoa wanaisha kabisa pamoja na utulivu sehemu nyingi za dunia una prevail hata maeneo ya vita vinapungua au kusimama kwa mwezi mtukufu.
Swali ni je?
1. Hawa waliofunga ndio wengi ndio watenda uhalifu?kununua machangu,kupora na ugaidi.
2. Hao wasiofunga ndio wanawatendea uhalifu waliofunga so kipindi cha Ramadhani wanawaonea huruma na kuwaheshimu so hawawasumbui?.
My take and my request
Kwa nn wanadamu tusiishi kama kila siku ni Ramadhani??
nw pia wale mash..e wanaongozaga kubadili majina na kula vichochoroni
wakifika home utadhani wamefunga kumbe loool wameshba na pia wamekandamiza totoz mitaani
Nguli upo?? Sawa bwana kwa kikwetu tunasema no commentWandugu, Sijui ni mtizamo wangu na wa baadhi ya watu? Kuwa kikifikia kipindi cha mfungo wa Ramadhani (Holly month)uhalifu unapungua sana sana. Vibaka wanapungua machangudoa wanaisha kabisa pamoja na utulivu sehemu nyingi za dunia una prevail hata maeneo ya vita vinapungua au kusimama kwa mwezi mtukufu.Swali ni je?1. Hawa waliofunga ndio wengi ndio watenda uhalifu?kununua machangu,kupora na ugaidi.2. Hao wasiofunga ndio wanawatendea uhalifu waliofunga so kipindi cha Ramadhani wanawaonea huruma na kuwaheshimu so hawawasumbui?.My take and my requestKwa nn wanadamu tusiishi kama kila siku ni Ramadhani??