Captain Phillip
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 894
- 538
Mi naelewa kwa mtu ambae anachapiwa mke wake
ila kama ni mchumba sijui msanii wa bongo, askari feki, dokta feki... haileti maana cz tuna Waandishi wa Habari feki na hakuna hata mmoja aliyefichuliwa. Maybe wangeanza na Waandishi wa Habari, Watoza Ushuru, Wala Rushwa na wale wachungaji wanaolala na kondoo wao
Ngoja siku waingie mtegoni na kutoa picha za aina hiyo na habari ambayo ni uongo kisha watu waweke wanasheria makini kama hiyo Global haijafilisiwa. Shigongo anatengeneza pesa kiujanja ujanja sana bila kujali kama kuna maumivu upande wa pili.
Sent from my iPad using JamiiForums
Kaka yamekukuta nini? Udaku ulikuwepo tokea enzi za Agano la Kale....Kasome biblia!
Hapa ndipo penye issue...hawa polisi wanafaidika ja nini?Hawa OFM hawajitambui wanafanya mambo ya kitoto sana na cha kushangaza polisi wanashiriki utoto huo.