Uhalali wa Mashahidi wa kificho mashakani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,544
Reaction score
284,046
Kumbe wote walikamatwa Mitaani huku wengine wakitekwa.

Wakatishwa n.a. kupewa masharti kwamba wakikubali kuwa Mashahidi wa kumkandamiza Lissu watakuwa salama

Taarifa zingine zinaeleza kwamba wamo waliokamatwa kwa Ujambazi n.a. Ubakaji lakini Baada ya kukubali Sharit Hilo la kikatili kesi zako zilifutwa. (Nifae Leo ili nikufae kesho)

Tangu niipate akili sijawahi kuona mkakati wa kibwege kama huu
 
Kila mara napenda kuwaambia watu ya kuwa Mungu sii Njomba Athumani wala Njomba Nchumari!Na kuwa dunia ni ya Mola!
 
Sasa unategemea lile bichwa la maza liwe na ubongo wenye akili?
 
Huko tuendako Mambo yote yatafumuliwa Mahakamani, Kama Mmbwai na Iwe Mmbwai, baadhi ya ndugu wa Mashahidi wameahidi kuanikwa KILA kitu, kwa mtindo wa Liwalo na liwe
Hakika hapa ndiyo ule usemi wa kuwa shetani Hana rafiki unapojidhihirisha rasmi!
 
Hivi ni kituo kipi bora kwa watu ambao tumepanga kurudia mtihani wa kidato cha nne??
Maana hapa ofisini wananiletea dharau kisa kidato cha nne nilipata daraja la nne alama 29(Division four points 29).
 
Halafu huyo huyo aliye lazimisha kujisimika, Kesho ana wakaripia Polisi au Mahakama au ofisi ya mwendesha Mashtaka. Si watamuona ni kituko.

Na hii inaleteleza watu kujichukulia Sheria mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…